Posts

Showing posts from June, 2026

Kutimia au Kubatilika kwa Unabii;

Image
  JE, UNABII UNAWEZA KUBATILIKA?  (JE BIBLIA INATUAMBIA NINI JUU YA KUBATILIKA AU KITIMIA KWA UNABII?) Bwana Yesu asifiwe sana mtu wa Mungu! Nashukuru sana Mungu kwa kunipa kibali siku ya leo kukutana nawe tena katika makala hii kwa nia ya kujifunza zaidi juu ya mambo yahusuyo "Unabii." Najua unaweza ukajiuliza, kwa nini tujifunze mambo kadhaa kuhusu unabii? Lakini inawezekana huamini katika unabii, na hivyo si jambo muhimu wewe kujua kuhusu mada hii. Au pia, kwa imani yako unaamini nyakati hizi hakuna manabii. Jambo moja ninalotaka kukuambia ni kwamba, naelewa na ninaheshimu mtazamo wako na mawazo yako juu ya hicho unachokiamini. Lakini ningependa ufahamu kwamba kuna ukweli ambao huujui kuhusiana na mada hii, ukweli ambao ukiufahamu utaondokana kabisa na mtazamo ulio nao. Bwana Yesu asifiwe sana! Sasa ili unielewe vizuri, natamani tukae chini kama watu wanaojifunza Neno la Mungu, tufungue akili zetu, na tujadili kwa pamoja huku tukiangalia Maandiko Matakatifu ...

WHO IS THE SINGER OF PRAISE AND WORSHIP?

Image
  WHO IS THE SINGER OF PRAISE AND WORSHIP? INTRODUCTION The Praise and Worship ministry has become a very important part of many Christian worship services. However, many people view this ministry as merely singing, without understanding the responsibilities, qualifications, and spiritual preparation required of those who serve in it. This article is designed to help us gain a deeper understanding of who a Praise and Worship Singer is, the qualities such a person should possess, the preparation required before ministering, and the difference between talent and gift in ministry. In this article, we will learn: The meaning of a Praise and Worship Singer. The characteristics of a Praise and Worship Singer. The preparation required before leading Praise and Worship. The difference between a talent and a gift. The conclusion. WHO IS THE SINGER OF PRAISE AND WORSHIP? Before discussing the Praise and Worship Singer, it is important to first understand the meaning of a singer ...